Aliekuwa
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiliko kutoka soko
kuu la Kariakoo, Jijini Dar es salaam waliomtembelea Ofisini kwake jana
Januari 14, 2016.
Mwenyekiti
wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo,
Severin Mushi, akizungumza wakati akiutambulisha ujumbe wake kwa
Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
walipokwenye kumuona jana Januari 14, 2016.
Aliekuwa
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko
kutoka soko kuu la Kariakoo, mara baada ya kuzungumza nao jana, Jijini
Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment