Ikiwa ni miaka miwili toka video vixen Jackie Cliff akamatwe kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya, ameandika barua ya wazi kwa watanzania ambapo amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu maisha yake.
Barua hiyo imesomwa kwa mara ya kwanza na kipindi cha Amplifaya cha
Clouds FM Jumanne hii na mtangazaji wa kipindi hicho Millard Ayo.
Tazama hapa.
0 comments:
Post a Comment