Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu
ya tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam
Februari 25,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam
Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Genarali Omar Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea
Bissau Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo
mengine Mjumbe huyo alileta salamu za pongezi kutoka kwa Rais wa Guinea
Bisau.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea barua kutoka Genarali Omar Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa
Guinea Bissau Jose Mario Vaz.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau mara baada ya kupokea
barua ya Salamu na pongezi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Genarali Omar Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau
Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar es Salaam
Good
ReplyDelete