Wapalestina watano wamepigwa risasi
na vikosi vya usalama vya ki Israel kwa madai ya kufanya majaribio
kadhaa ya kutaka kuwashambulia.msemaji wa walinda usalama hao alieleza
kwamba wapalestina wawili waliuawa baada ya kuwashambulia kwa risasi
mjini Jerusalem.
Mjini Hebron, binti mwenye asili ya ki Palestina mwenye umri wa miaka kumi na saba alipigwa risasi na kujeruhiwa vibaya akidaiwa kutaka kufanya jaribio la kutaka kumshambulia afisa wa polisi.
0 comments:
Post a Comment