Adverts

Friday, February 19, 2016

Matokeo ya awali ya uchaguzi nchini Uganda: Museveni Anaongoza kwa Asilimia 62.03


Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya uchaguzi nchini Uganda yanaonesha kuwa Rais Yoweri Museveni kwa tiketi ya NRM anaongoza akiwa na zaidi ya kura milioni 1.3 sawa na asilimia 62.03.
Anayefuata  ni  Kizza Besigye kwa tiketi ya chama cha FDC asilimia 33.46 huku Waziri Mkuu wa zamani wa Uganda, Amama Mbabazi akionekana kushindwa.

0 comments:

Post a Comment